5 Oktoba 2024 - 16:15
Msimbo wa Habari: 1491837
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, anaziua nchi za eneo la Mashariki ya Kati kwa hatua za ukichaa. Mchora Katuni wa gazeti la Kimataifa la Al-Quds Al-Arabi ameashiria wendawazimu wa Netanyahu kupitia kuchora mchoro wa katuni.